Showing posts with label Video. Show all posts
Showing posts with label Video. Show all posts
‘Lupela’ is Alikiba's smash hit release through his global
ambassadorship and partnership with WildAid and his worldwide exclusive
partnership with his record label and management company 'ROCKSTAR4000'
and publishing partnership with 'Rockstar Publishing', and the music
video directed by Kevin Donovan.
Alikiba is a multiple award winning Tanzanian singer, songwriter, musician, actor, dancer and producer, and acclaimed as the 'King' of Tanzanian music entertainment. He is among Africa’s biggest stars and well known within the United States and abroad. He’s been honored by President Kikwete for his contribution to Tanzanian Music, Arts and Culture and was voted “the most popular top selling artist in East Africa.” Alikiba has partnered with WildAid on our “Poaching Steals from Us All” campaign to help conserve Tanzania’s wildlife.
Award-winning singer-songwriter Alikiba has become an ambassador for the WildAid saving the elephants campaign. "I'm honoured to lend any support that I can to this effort to protect our wildlife,” Alikiba said. "Our beautiful elephants must be allowed to live — free and wild — instead of ending up as a carving on somebody's coffee table."
Puff Daddy is trying to “run through the money.” The Bad Boy mogul turns up at work in the wild video for “Blow a Check (Bad Boy Remix),” which comes off last year’s album MMM. The Wolf of Wall Street-inspired clip, featuring French Montana and Zoey Dollaz, finds the suit-clad MCs rapping about cash, lighting bills on fire, and partying with lingerie-clad chicks at Combs Enterprises while mayhem sues.
Nuru alikuwa kimya kwa takriban miaka miwili baada ya kuachia wimbo wake ‘Muhogo Andazi’ aliomshirikisha Bob Junior. Aliamua kuandika wimbo huo wa mapenzi na kuupa jina la ‘L’ kwa kuwa herufi hiyo inawakilisha vitu vingi chanya hasa kwenye uhusiano wa mapenzi.
‘L’ umetayarishwa nchini Sweden katika studio za Joevibes Productions na tangu uanze kuchezwa kwenye radio mbalimbali nchini umepokelewa vizuri na mashabiki na watangazaji wa radio hizo huku wakimtaka kueleza alipoipata idea hiyo ya kipekee.
“L inasimama badala ya maneno mengi chanya, inaweza kuwa Love, Light, Love, Life na mengine mengi, vilevile nilitaka kuonesha kuwa sio lazima wimbo uwe neno zima, ukiwa mbunifu zaidi hata herufi moja tu inaweza kusimamia wimbo mkubwa wenye maana kama huu,” anasema.
“Pia nilitaka kuonesha kuwa kwa msanii ni muhimu muda mwingine kupumzika kidogo, ku-refocus, kurudi upya na kuwa na ile njaa kali ya kuandika nyimbo bora zaidi, kusimama jukwaani na kuwa mbunifu zaidi kwa sababu sometimes unachoka,” aliongeza.
Pamoja na Muhogo Andazi, Nuru aliwahi kutamba na nyimbo kama Walimwengu, Msela na Nisubiri Usilale.
Mwanamke ajifungua wakati akiwa kwenye safari ya ndege ya China iliyokuwa ikitokea Taipei kuelekea Los Angeles. Uzazi huo umefanikiwa kwa msaada wa daktari aliye kuwepo kwenye ndege kutokea Bali siku ya alhamisi.
Ndege ilituwa kwa tahazari mjini Alaska ambapo mama na mwanaye waliwahishwa hospitalini.
Ndege ilituwa kwa tahazari mjini Alaska ambapo mama na mwanaye waliwahishwa hospitalini.
2 Chainz reps his clique in the dark and gritty video for “Road Dawg”
off his mixtape T.R.U. Jack City. Following the video for “Keep It 100,”
the Atlanta rapper (and potential future mayor of College Park), takes
over a parking structure and walks a pack of pitbulls. In between
stunting in his pink jacket and padlock chain, he gives his dawgs a
moment to shine.
T.R.U. Jack City also features appearances from his T.R.U. crew including Cap 1, Skooly, Fresh (aka Short Dawg), Young Dolph, and Bankroll Fresh, with production from Mike WiLL Made-It, Zaytoven, and 808 Mafia.
T.R.U. Jack City also features appearances from his T.R.U. crew including Cap 1, Skooly, Fresh (aka Short Dawg), Young Dolph, and Bankroll Fresh, with production from Mike WiLL Made-It, Zaytoven, and 808 Mafia.
Muimbaji wa TMK Wanaume Family, Chege Chigunda amedai kuwa uamuzi wake
na Temba kwenda kufanya video yao ‘Kaunyaka’ nchini Afrika Kusini,
hakumaanishi kuwa Tanzania haina maeneo mazuri ya kufanya video bali
waliamua kufanya hivyo ili kupata kitu tofauti.
Akiongea na East Africa Radio hivi karibuni, Chege amemtolea mfano msanii wa Marekani, John Legend aliyeamua kwenda Zanzibar kufanya video ya wimbo wake.
“Ni kubadilisha tu idea then unarudi unafanya kitu kile kile,” amesema Chege.
Chege na Temba walisafiri na Adam Juma kwenda kushoot video nchini humo.
Yes, ile kali ya staa kutoka Nigeria Yemi Alade aliyompa collabo rapper Phyno, tayari kaiachia mtu wangu, huenda ulikuwa na kiu pia kuiona hii ‘Taking Over Me’ baada ya kuisikiliza single hiyo aliyoiachia siku chache zilizopita.
Kazi ya video hiyo imefanyika Afrika Kusini na Nigeria, director ni Justin Campos pamoja na Taiye Aliyu.
Nakukaribisha kuitazama.
Kazi ya video hiyo imefanyika Afrika Kusini na Nigeria, director ni Justin Campos pamoja na Taiye Aliyu.
Nakukaribisha kuitazama.
Mkali wa R&B Usher Raymond aliingia mtaani akiwa amevaa nguo ambazo watu hawakumtambua, akaachia bonge la burudani kwa kuachia bonge la show.
Waliosimama kumuangalia walivutiwa na vitu viwili, kwanza ni mavazi ya rangi ya dhahabu aliyoyavaa na pia namna alivyocheza vizuri.
Burudani hiyo aliitoa California, Marekani na baada ya watu hao kujua kwamba jamaa huyo ni Usher walishangilia kumuona staa huyo na kuanza kupiga nae picha.