MPOLI PICTURES

I am a Writer

MPOLI PICTURES

We are a full-service wedding cinematography and photography company. We create cinematic and documentary style wedding films. Our shooting style is journalistic, inconspicuous and centered on documenting each important moment as it happens. We dedicate our work to creativity, superior quality, exceptional quality and honest value in photography. Choose us to create your memory.

  • Morogoro, TANZANIA
  • +255714845658,
  • mpolipictures@gmail.com
  • www.mpolipictures.net
Me

My Professional Skills

We are a full-service wedding cinematography and photography company. We create cinematic and documentary style wedding films.

Camera Opparating 90%
Camera Setting 70%
Video Shooting 95%
Graphics 90%
Showing posts with label Photos. Show all posts
Showing posts with label Photos. Show all posts
  • PICHA: MASTAA WA ARSENAL WAZAMA UWANJANI NA SUTI

    Klabu ya Arsenal ya Uingereza ambayo inafundishwa na kocha raia wa Ufaransa Arsene Wenger, October 14 wachezaji wa timu hiyo wameingia kwenye headlines za mitandao ya kijamii baada ya kuonekana wamevaa suti huku wakioneshana ufundi wa kuchezea mpira.
    2
    Suti hizo nyeusi ambazo wamevaa wachezaji hao zinaonekana kuwa za kufanana na kwa haraka ukiwaona utatamani ujue kuna sherehe inayofanya nyota hao kuvaa suti zinazofanana? Ripoti kutoka mirror.co.uk inasema kampuni ya nguo za kiume ya Duchamp London imeidhamini klabu ya Arsenal.
    3
    Duchamp London ambayo inajihusisha na utengenezaji wa suti hizo inatajwa kuingia mkataba na Arsenal, hivyo itakuwa inawavalisha wachezaji wa Arsenal, makocha na viongozi wa klabu hiyo wakiwa katika mechi au katika sherehe mbalimbali zitakazokuwa zinahusisha wachezaji na viongozi wa klabu hiyo.
    f
    1 n
  • Aliyedhaniwa amefariki aamka kabla ya upasuaji huko India

    Wahudumu katika chumba cha kuhifadhia maiti mjini Mumbai walipigwa na butwaa baada ya mwanamume kuamka muda mfupi kabla ya kufanyiwa upasuaji. Daktari mkuu alikuwa amesema mwanamume huyo wa miaka 50 alikuwa amefariki na akaagiza mwili wake upelekwe mochari mara moja.

    Agizo hilo lilikiuka kanuni za hospitali kwani watu wanaotangazwa kufariki hutakiwa kukaa kwenye wadi saa mbili, kuhakikisha hakuna kosa na ni kweli wamefariki dunia. Madaktari wanasema mwanamume huyo kwa jina Prakash alikuwa na matatizo ya mwili kuendesha shughuli za kawaida na alikuwa akiropokwa alipofikishwa hospitalini.

    Vyombo vya habari nchini humo vinasema alipatikana katika kituo cha mabasi akiwa amepoteza fahamu. Akiongea katika kikao cha wanahabari Jumatatu, Dkt Suleman Merchant, anayesimamia hospitali ya Lokmanya Tilak alisema Prakash ni mlevi “aliyejitelekeza” na alikuwa na mabuu usoni na masikioni.

    "Miili ya wafu kawaida ndiyo huwa na mabuu. Lazima alikuwa amekaa pahali amelala siku sita au saba,” alisema daktari Merchant. Aliambia wanahabari kwamba daktari aliyemchunguza Prakash alimpima mpigo wa moyo, mpigo wa damu na hata kupumua kwake. Dkt Merchant amesema hospitali hiyo imeanzisha uchunguzi kuhusu kisa hicho. Prakash yuko katika hali thabiti hospitalini ambako anaendelea kutibiwa.
  • Picha: Lowassa aiteka rasmi Mwanza.


    Siku 11 zimebaki kuifikia October 25 2015, ambapo Tanzania itakuwa kwenye tukio jingine kubwa na la kihistoria, Watanzania Milioni 22.7 waliothibitishwa na Tume ya Uchaguzi NEC, watapiga Kura kuchagua Viongozi katika ngazi ya Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.

    Kwa sasa bado mchakamchaka wa Kampeni kwenye Majukwaa ya Siasa bado unaendelea, jana October 12 2015 Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ambaye anawakilisha umoja wa wa Vyama vya UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa alitua kwa mara nyingine kwenye Viwanja vya Furahisha, ndani ya Mwanza kwa ajili ya kuendelea na Kampeni zake.

    CRIdqzEWgAAnrjB
    6
    .
    OTH_0562
    Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
    OTH_0667
    OTH_0892
    OTH_0900
    OTH_0764
    OTH_9729
    Kutokana na wingi wa watu, wengine walizidiwa wakawa wanapoteza fahamu.
    OTH_9751
    OTH_9823
     CRIeJ-qWoAAJVAq CRIfHSWWsAA0F2B CRIOWX0WoAAVkyd
  • Pembe za ndovu:Raia wa Uchina wakamatwa TZ

    Uwindaji haramu
    Jopo maalum la wanyama pori nchini Tanzania limewakamata baadhi ya raia wa Uchina wanaoushukiwa kusafirisha pembe za ndovu.

    Makundi ya kampeni dhidi ya uwindaji haramu yanasema kuwa wale waliokamatwa ni pamoja na mwanamke aliyepewa jina la utani 'Malkia wa pembe za ndovu' {Yang Feng Glan}.

    Wahifadhi wameitaja Tanzania kama shina la uwindaji haramu wa pembe za ndovu ,na kuongezea kuwa ndovu 8,500 waliuawa katika kipindi cha miaka mitano iliopita.
    Chanzo: BBC
  • Picha: Albino waliokatwa mikono wapata msaada

    Pendo, ambaye ana miaka 15 alishambuliwa mwezi Agosti
    Hivyo ndivyo rais wa Tanzania Jakaya mrisho Kikwete ameelezea mauaji ya albino wapatao 80 tangu mwaka 2000 nchini Tanzania.
    Baraka ambaye anafikisha miaka sita baadaye mwezi huu alishambuliwa mnamo mwezi Machi.
     Wengine wengi wamekatwa viungo mbalimbali vya mwili kwa kuwa wengi wanaamini kwamba viungo vyao vinaleta bahati nzuri.
    Emmanuel, mwenye umri wa miaka 13, anaweza kutumia mkono wake mpya kufanya kazi za kawaida
     Lakini kundi moja la watoto waliopoteza mikono katika shambulizi wamepewa fursa mpya.
    Mkono wake wa bandia sasa unamsaidia kupika
     Walisafiri hadi nchini Marekani ili kuwekewa mikono bandia.Wanne kati ya watano sasa wamerudi nchini Tanzania.
  • PICHA -JINSI BRANDAN RODGERS ALIVYOFUNGASHIWA VIRAGO NA FAMILIA YAKE




    Brendan Rodgers amepigwa picha akiwa airport na familia yake ambayo ni mtoto wake pamoja na mchumba wake. Rogders aliondoka Liverpool na ndege binafsi siku ya Jumatatu asubui na kufika Malaga Hispania muda mchache baadae.

    Rodgers alijulishwa kupitia simu na mmiliki wa kampuni ya Fenway Sports Group Mike Gordon ambae ni rais wa kampuni hiyo. Hizi ni picha za kwanza ambazo amepigwa Brendan baada ya kufukuzwa kazi.
    2D1DEABE00000578-3260454-image-m-40_1444056921063
    2D1DEB0600000578-3260454-image-m-38_1444056852112
  • Rich Mavoko - Msanii kuonesha mali zake mtandaoni ni kutoa shukurani kwa mashabiki

    Watu maarufu wamekuwa na kawaida ya kushare mambo yao katika mitandao ya kijamii, hii ikiwa ni pamoja na maisha binafsi na kuonesha mali walizochuma kupitia kazi zao.

    Watu maarufu wamekuwa na kawaida ya kushare mambo yao katika mitandao ya kijamii, hii ikiwa ni pamoja na maisha binafsi na kuonesha mali walizochuma kupitia kazi zao.

    mavoko

    Kwa mastaa wa bongo, baadhi yao hawapendi ‘kuringishia’ mali zao mitandaoni huku wengine akiwemo staa wa muziki Rich Mavoko wanaunga mkono tabia hiyo.

    Mavoko anaamini kwa kuonesha mali anazomiliki mtandaoni ni kutoa shukurani kwa mashabiki.

    “Mtu mwengine inawezekana anapost vitu au nyumba, au gari au pesa, kwa kutoa shukrani kwa watu ambao wamemfanya mpaka awe hapo, ina maana ni hao watu ndio anaowapostia, ili waone kwamba sasa hivi nimepiga hatua kiasi gani.” Alisema Rich Mavoko kupitia Planet Bongo ya EA Radio.
  • Lil Wayne amshtaki Birdman akimtaka amlipe dola milioni 51. adai Birdman amewaibia Drake, Nicki Minaj na Tyga mkwanja mrefu

    Ugomvi kati ya Young Money na Cash Money unaendelea kuwa mkubwa zaidi baada ya Lil Wayne kutoa madai mapya.

    birdman-wayne-nicki-drake

    Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Wayne anadai kuwa na maelezo kutoka kwa wawakilishi wa Drake na Tyga yakisema wameibiwa fedha nyingi.

    Kwa upande wa Nicki Minaj, anadai kuwa Young Money imemfanyia uhuni kwa kushindwa kuwalipa maproducer. Young Money inadai kuwa jukumu la kuwalipa watayarishaji lilikuwa la Cash Money.

    Young Money imesema inadai fedha kibao kutoka kwenye dola milioni 100 ambazo Cash Money ilipewa na Universal.

    Hata hivyo timu ya Birdman imejibu kuwa tayari fedha hizo zimelipwa ambapo dola milioni 20 zilienda kwa Young Money mwaka 2012, milioni 12 zingine zikienda kwenye album ya Lil Wayne na zingine milioni 70 zikilipwa kama advances.

    Cash Money wanadai kuwa wasanii wa Wayne walitakiwa watengeneza album 21 lakini wametengeneza 13 tu.

    January, Wayne alimshtaki Birdman akimtaka amlipe dola milioni 51.
  • HIVI NDIVYO FLOYD MAYWEATHER ANA-ENJOY BAADA YA KU-STAFF BOXING

    Mayweather ameenda holiday akiwa na rafiki yake Justin Bieber huko kwenye visiwa French Polynesia, wakiwa huko wana enjoy time kwenye beach safi zilzokaribu na milima iliyojaa misitu ya kijani.
    Bieber alimsindiza Mayweather kwenye ring siku ya pambano dhidi ya Miguel Cotto na tangu siku hiyo urafiki wao ukawa wa karibu sana.
    Mayweather ame-staff kucheza boxing baada ya kumchapa Andre Berto kwenye pambano la mwisho ambalo ni la 49 kwenye maisha yake ya mchezo huo. Mapambano yote ameshinda japokua mashabiki wanamtaka acheze la 50.
    2D0E3AD300000578-0-image-a-355_1443918875377
    2D0E7C7200000578-0-image-a-356_1443918881727
    2D0E7C7900000578-0-image-a-354_1443918871380
    2D0F83D100000578-3259145-image-a-357_1443918970192
  • Picha,Rihanna alivyonyuka kwenye Paris Fashion Week.

    Akiwa anatokea South America kwenye tamasha lake, Rihanna kadondoka Paris kwaajili ya  Fashion Week.
     rihanna-dior-pfw-3 rihanna-dior-pfw-4 rihanna-dior-pfw-5 rihanna-dior-pfw-6 rihanna-dior-pfw-7


  • BAADA YA DROO NA EVATONI LIVERPOOL IMEMFUKUZA KOCHA WAKE BREANDAN RODGERS

    Brendan Rodgers has been sacked by Liverpool after their 1-1 draw with Everton in Sunday afternoon's Merseyside derby.

    The result left his side with just one win in their last nine games and that has brought his time at Anfield to an end.

    Then Swansea manager Rodgers was appointed in June 2012 and led Liverpool to a second-place finish in the Premier League behind Manchester City just last year.

    His efforts earned him both a new four-year deal with the club and the LMA Manager of the Year prize, making him the first Anfield boss to win it in its 20-year history.

    Last season, however, Rodgers' side were knocked out of the Champions League in the group phase then eliminated from the Europa League round of 32 on penalties by Besiktas.
  • FULL TIME: ARSENAL 3 vs 0 MANCHESTER UNITED

    Alexis Sanchez anaipa bao tena la tatu Arsenal na kufanya bao kuwa 3-0 dhidi ya Man United.
    Alexis Sánchez anaifungia bao dakika ya 6 na dakika ya 7
    Mesut Özil  anatupia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Man United kwenye Uwanja wa Emirates.
    VIKOSI:
    Arsenal: Cech, Bellerin, Mertesacker, Gabriel, Monreal; Coquelin, Cazorla; Ramsey, Ozil, Sanchez; Walcott
    Subs: Ospina, Debuchy, Chambers, Gibbs, Oxlade-Chamberlain, Campbell, Giroud

    Manchester United: De Gea, Young, Smalling, Blind, Darmian, Carrick, Schweinsteiger, Mata, Rooney, Memphis, Martial
    Subs: Romero, Jones, McNair, Schneiderlin, Valencia, Fellaini, Wilson
    TIMU ZOTE MBILI WATAOHUKOSA MTANANGE  HUU:
    Arsenal: OUT - Koscielny (hamstring), Arteta (thigh), Flamini (hamstring), Wilshere (leg), Rosicky (knee), Welbeck (knee).

    Man United: OUT - Rojo (hamstring), Shaw (leg). DOUBTFUL - Carrick (knock), Herrera (knock).
  • EVERTON 1 v 1 LIVERPOOL, MERSEYSIDE DERBY YAMALIZIKA KWA SARE! LUKAKU AKIISAWAZISHIA BAO EVERTON!

    Everton walisawazisha bao kupitia kwa Romelu Lukaku dakika ya 45' +1 na mtanange kwenda mapumziko kwa bao 1-1 kipindi cha pili hakuna aliyefanikiwa kupata bao. Hadi dakika 90 zinamalizika ni 1-1 hivyo dabi yao ya Merseyside kumalizika kwa sare ya 1-1.



    Liverpool ndio walianza kupata bao lao dakika ya 41 baada ya kupigwa kona na yeye mwenyewe Danny Ings kuunganisha kwa kichwa na kufanya Liverpool itangulie kwa bao 1-0Chupuchupu zipigwe!Kipute kinaendelea.. kipindi cha kwanza...Mashabiki wa Liverpool wakiwa tayari kushuhudia kipute punde cha Everton vs LiverpoolMerseyside derby
    VIKOSI:
    Everton:
    Howard, Browning, Jagielka, Funes Mori, Galloway, McCarthy, Barry, Deulofeu, Barkley, Naismith, Lukaku.
    Subs: Robles, Gibson, Oviedo, Kone, Lennon, Osman, Holgate.

    Liverpool: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Clyne, Milner, Lucas, Moreno, Coutinho, Sturridge, Ings.
    Subs: Gomez, Lallana, Allen, Origi, Ibe, Bogdan, Rossiter.
    Referee: Martin Atkinson
  • GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.