MPOLI PICTURES

I am a Writer

MPOLI PICTURES

We are a full-service wedding cinematography and photography company. We create cinematic and documentary style wedding films. Our shooting style is journalistic, inconspicuous and centered on documenting each important moment as it happens. We dedicate our work to creativity, superior quality, exceptional quality and honest value in photography. Choose us to create your memory.

  • Morogoro, TANZANIA
  • +255714845658,
  • mpolipictures@gmail.com
  • www.mpolipictures.net
Me

My Professional Skills

We are a full-service wedding cinematography and photography company. We create cinematic and documentary style wedding films.

Camera Opparating 90%
Camera Setting 70%
Video Shooting 95%
Graphics 90%
Showing posts with label Siasa. Show all posts
Showing posts with label Siasa. Show all posts
  • Chadema wamtaka Magufuli asiwabague wananchi Chato


    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mbunge wa Chato (CCM), Dk. John Magufuli (pichani), kuacha kuwabagua wananchi wa jimbo hilo kutokana na kuwachagua wenyeweviti na wajumbe wa Chadema kupitia Ukawa katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka jana.
     
    Chadema walitoa tahadhari hiyo baada ya Dk. Magufuli ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, hivi karibuni kudai atapeleka fedha za Mfuko wa Jimbo katika vijiji na vitongoji walivyoshinda wagombea wa CCM pekee.
     
    Katibu Mwenezi wa Chadema wilayani hapa, Alex Mukama, alisema kutokana na kauli hiyo ya Dk. Magufuli, inaonyesha wazi jinsi asivyofaa kuendelea kuaminiwa na wananchi kwa kuwa anapingana kwa makusudi na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayomtaka kiongozi kujiepusha na ubaguzi wa rangi, itikadi za kisiasa, kidini na kijinsia.
     
    Mwenyekiti wa Kambi ya Upinzani ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Crispin Kagoma, aliwashukuru wananchi hao kwa kudhihirisha wameichoka CCM.
     
    Katika hatua nyingine, Chadema imewaonya wenyeviti wa vijiji na vitongoji kupitia chama hicho kutokubaliana na maamuzi ya serikali ya kuwasumbua wananchi kwa michango ambayo haijapitia kwenye mikutano mikuu ya vijiji na kudhaminiwa na wananchi wenyewe.
     
    Mwenyekiti wa kijiji cha Mkuyuni, Anacret Lwegoshora (Chadema), alisema baadhi ya viongozi wa serikali kwa kushirikiana na viongozi wa CCM, wamekuwa wakiwashinikiza wananchi kuchangia michango pasipo kuwashirikisha.  
    CHANZO: NIPASHE
  • GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.