• Bill Cosby Azungumzia kuhusu shutuma za kubaka zinazomkabili

    Mzee Bill Cosby, mchekeshaji maarufu Marekani ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ubakaji ambapo jumla ya kesi 20 kwa mara ya kwanza amejitokeza na kuzungumzia shutuma zinazomkabili.

    Watu wengi walionekana kumlaani Cosby kuhusiana na shutuma zinazomkabili lakini wapo wachache ambao walisimama upande tofauti ambapo ndiyo waliompa nguvu ya kutweet akiwashukuru kwa kuonyesha kumpa moyo.

    Cosby alitweet akiwashukuru Whoopi Goldberg na Jill Scott ambao walieleza kwa nyakati tofauti namna ambavyo hawakupendezwa na kitendo cha vyombo vya habari kueneza kashfa za ubakaji juu ya Cosby.

    Cosby hakuwahi kuzungumza hadharani kujibu chochote kuhusiana na shutuma hizo za ubakaji, japo shutuma zinazozungumziwa sasa zinafanya idadi ya wanawake ambao wamewahi kuripoti kuhusu kufanyiwa hivyo kufikia 20.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.