Weezy ameandika tweet kama mvua za kulalamika,
“Kwa mashabiki wangu wote, nataka wote mjue kwamba album yangu haitatoka na haijatoka kwasababu Baby (Bird Man) na Cash Money Rec wamekataa kuitoa”.
Aliandika tweet nyingine,
“Hili sio kosa langu, naombeni sana mniwie radhi mashabiki wangu lakini zaidi kwangu mimi mwenyewe na familia yangu kwa kutuweka kwenye hali hii”.
Katika tweet nyingine Weezy alitishia kuondoka kwenye label hiyo,
“Nataka kuondoka kwenye label hii na sitaki kufanya chochote na hawa watu lakini bahati mbaya hiyo sio rahisi”
Na katika tweet nyingine aliongeza kuwa yeye amekuwa mfungwa pamoja na ubunifu wake.
To all my fans, I want u to know that my album won't and hasn't been
released bekuz Baby & Cash Money Rec. refuse to release it.
— Lil Wayne WEEZY F (@LilTunechi) December 4, 2014
I am a prisoner and so is my creativity Again,I am truly sorry and I
don't blame ya if ya fed up with waiting 4 me & this album. But thk u
— Lil Wayne WEEZY F (@LilTunechi) December 4, 2014
I want off this label and nothing to do with these people but unfortunately it ain't that easy
— Lil Wayne WEEZY F (@LilTunechi) December 4, 2014
This is not my fault. I am truly and deeply sorry to all my fans but
most of all to myself and my family for putting us in this situation.
— Lil Wayne WEEZY F (@LilTunechi) December 4, 2014
Hivi karibuni rapper Tyga naye alitumia Twitter kuilaumu Young Money kwa
kuchelewesha kutoa album yake na kusema wamemuweka mateka.Hata hivyo mkataba wa Weezy na Young Money aliosaini April, 2012 bado unamdai album nyingine tatu za kutoa chini ya label hiyo kabla hajawa huru kuondoka.
0 comments:
Post a Comment