• Video: Wavulana 10 Waripotiwa Kulawitiwa Na Kinyozi Eneo La Mbaruk huko Kenya


    Mwanamme mmoja wa miaka 50 ambaye ni kinyozi anashukiwa kuwalawiti wavulana wapatao kumi huko Mbaruk, eneo bunge la Gilgil kaunti ya Nakuru na kutoroka. Mwanamme huyo ambaye sasa yuko mafichoni inasemekana huwahadhaa watoto hao wa kati ya miaka minane hadi kumi kwa peremende na pesa na baadaye kuwafanyia ukatili huo.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.