• Pastor Myamba asema mwaka huu atatoa filamu za ndoa kwa wingi

    Msanii mkongwe wa filamu Emanuel Myamba aka Pastor Myamba ameweka wazi kuwa mwaka huu filamu zake nyingi zitakuwa ni za maswala ya ndoa.

    Myamba ameiambia Bongo5 kuwa, ameamua kuwapa vijana pamoja na Watanzania umuhimu wa kuona changamoto zinazotokea katika maisha ya ndoa.

    “Mwaka huu ni filamu za ndoa tu, yani nyingi zitakuwa za ndoa, unajua kwenye ndoa kuna matatizo sana, sasa mimi nikaona kupitia nafasi hiyo ninaweza kutumia nafasi hii kuelimisha jamii pamoja na mimi kufanya biashara, tayari tumeshaanza maandalizi ya kushoot na mwaka huu watu wataanza kupata kazi mbalimbali zinazohusu maisha ya ndoa.” alisema Myamba.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.