• Video; Tazama maamuzi aliyoyachukua mama huyu baada ya kumzaa mtoto mwenye meno

    Ni jambo la kushangaza kidogo kuona mtoto akizaliwa huku akiwa na meno tayari lakini mama huyo anayeishi katika mji wa Missouri, Marekani ametamka kuwa hataweza kumnyonyesha mtoto wake aliyemzaa baada ya kugundulika kuwa amezaliwa akiwa na meno mawili ya mbele.

    “Wamesema alizaliwa akiwa na meno mawili ya mbele,imekua ni mshtuko kwa kila mtu kwani ni jambo la ajabu kidogo:-Bailey

    Alisema mbali ya watu kushangaa pia madaktari walikua wakishangaa.
    Alisema kutokana na hali hiyo Alyssa Bella atakua akinywa maziwa ya kopo na si kunyonya.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.