• Kilichomliza Diamond Platnumz kwenye video hii.

    Hakuna siri kuwa Diamond Platnumz na Yemi Alade walifanya kazi nzuri kwenye msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Miongoni mwa nyimbo zilizofurahiwa zaidi ni Johny ya Yemi na Ukimwona ya Diamond ambazo waliziimba pamoja.

  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.