Mchezo huo wa Barclays Premier League uliochezwa katika dimba la Leicester City umemalizika kwa Liverpool kuwatafuna Leicester 3-1.
Magoli ya Adam Lallana, Steven Gerrard na Jordan Henderson yalitosha kuwapa pointi 3 Liverpool na kuwafanya sasa kutimiza pointi 20 katika msimamo wa ligi kuu ya England.
Matokeo mengine:
Burnley 1-1 Newcastle
West Brom 1-2 West Ham
Swansea 2-0 QPR
0 comments:
Post a Comment