• Navy Kenzo na Quick Rocka watoa video siku moja Bofya hapa kutazama

    Wiki iliyopita Quick Rocka (mmilikiwa Switch Records) aliachia audio ya wimbo wake mpya "Bishoo" kupitia XXL, wakati Navykenzo nao waliachia siku hiyohiyo kupitia kipindi cha Lo Tena.

    Quick alikuja kudhihirish akuwepo kwa kutokuelewana kati yake na Nahreal (mmoja wa Navykenzo) baada ya kuondoka studioni kwake bila kuaga) na hata kufikia kudaiana kazi walizowahi kufanya pamoja mwingine Nahreal akitaka kugawana mauzo ya wimbo wa Quick alioutengeneza "Sukido"  huku Quick akimzuia kutumia chorus ya wimbo wake huu mpya kwa madai aliandika yeye


    Sijajua kama kinachoendelea ni muendelezo wa kutokuelewana huko, maana licha ya kutoa audio wakati mmoja, lakini jumamosi hii wameachia video kwa pamoja...Tazama video hizo hapa chini.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.