Akizungumzia penzi la wawili hao ambao siku chache zilizopita wameripotiwa kumwagana alisema, hali hiyo ni ya mpito tu haimaanishi kuwa hiyo ndiyo tamati ya mapenzi yao, sababu nyota zao zinategemeana japo ya Wema ina nguvu kubwa kuibeba ya Diamond.
Msifikiri kwamba penzi lao ndiyo limefika mwisho, hakuna kitu kama hicho ni mara ngapi wameachana na kurudiana hata hili la sasa natabiri watarudiana,” alisema Malim.Credit GPL
0 comments:
Post a Comment