Taarifa ya kituo cha ITV imesema mafundi gereji wa Tegeta walifanya jitihada kutumia vifaa vyao kukata mabati ya gari ili kuwatoa watu walionasa ndani ya gari iliyokuwa na abiria.
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamilius Wambura amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuahidi kutoa taari
fa zaidi kuhusu baadaye baada ya uchunguzi kufanyika.
0 comments:
Post a Comment