Lil Wayne amemtaka jaji kuvunja mkataba wa lebel yao kwa kuwa hawajamlipa fedha zake ili awe huru kufanya mambo yake baada ya kundi hilo kushindwa kufanikisha Wayne kuachia album yake ya ‘Tha Carter V‘.
Mwanzoni mwa wiki hii Lily Wayne alinukuliwa akisema baada ya Cash Money kushindwa kumlipa pesa zake, ataondoka ndani ya kundi pamoja na wasanii Nick Minaj pamoja na Drake.
0 comments:
Post a Comment