• Hii ndiyo sheria mpya kwa watumiaji wa mtandao wa Blogger kama wanaweka Picha, Graphic na au Video za utupu

    Kwanzia mwezi March 23, 2015 mtandao wa Blogger utaingia kwenye utaratibu mpya wa kuweka post kwa watumiaji wake ambapo hakutakuwa na uwezekano tena wa watumiaji wa mtandao huo kuweka picha za utupu 'Uchi' kama ilivyo zoeleka kwa blogger wengi.

    Blogger wameandika hivi,
    Note: We’ll still allow nudity if the content offers a substantial public benefit, for example in artistic, educational, documentary, or scientific contexts."
    Mabadiliko yatakayo onekana kwenye blog.

    Kama blog yako haina picha za utupu au graphic zinazo ashiria picha za utupu na au video ndani yake, hauto pata taarifa yoyote ya mabadiliko.

    Ila kama blog yako ina habari za utupu, picha na graphic za utupu na au video zinazo onyesha utupu, blog yako ita badilisha nakuwa ya 'private' baada ya tarehe 23, 2015 mwezi March. Hakuna post itakayo futwa, lakini post zako zitaonekana na mmiliki wa blog 'owner/admins' na wadau ambao wana umiliki wa kushare kwenye blog yako.
    Marekebisho ambayo unaweza kuyafanya.

    Kama blog yako imeanzishwa kabla ya tarehe 23, 2015 mwezi March, na ina mkusanyiko wa taarifa zinazo pingana au kugeuka sheria hii mpya, una machaguzi machache ya kufanya kabla sheria hii mpya haijaanza.

        Ondoa story zote ambazo zinaonyesha picha, graphic au video za utupu kwenye blog yako.
        Au ifanye blog yako kuwa niya private.


    Lakini pia kama unataka kuiondoa blog yako moja kwa moja, unaweza ku 'export' blog yako kama '.xml file' au au tumia 'Google Takeout'.

    Kwa blog mpya zitakazo anza kwanzia tarehe hiyo, Blogger wataiondoa blog yako kama itakuwa inajihusisha na picha hizo za utupu au za ushawishi wa kingono kutokana na sheria yao mpya.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.