Mwigizaji wa filamu hapa Tanzania Yusuf Mlela amezungumzia tofauti ya
filamu za nyumbani na za nje nakusema ” Haoni tofauti kubwa ya filamu za
nje yaani Africa, Ulaya na Marekani na zile za bongo ila ni fedha tu
inayotumika ndio kubwa kwao, Yusuf anasema “Wenzetu wanawekeza fedha
nyingi kwenye filamu moja tofauti na sisi” .
0 comments:
Post a Comment