• Barua ya Tupac aliyoandika akiwa jela mwaka 1995 kuuzwa sh milioni 491

    Barua iliyoandikwa na marehemu Tupac Shakur alipokuwa jela mwaka 1995 imewekwa sokoni tayari kwa kuuzwa.

    Barua hiyo yenye kurasa 5 aliyoiandika kwenda kwa aliyekuwa mfanyakazi wa Death Row, Nina Bhadreshwar inauzwa kwenye mtandao wa Moments in Time.
    kwa mujibu wa TMZ barua hiyo iliyoandikwa kwa mkono inauzwa kwa $225,000 sawa na shilingi 491,000,000.
    tupac-shakur-jail-letter
    Sehemu ndogo ya barua hiyo inasomeka:
    “U must play the game, not let the game play u. A regular Playa plays women, a Boss Playa plays life. A Boss Playa is a thinker, a leader, a builder, a moneymaker, a souljah, a teacher and most of all, a Man!… I want all my homiez to know there is another level.”
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.