• Miili ya watu 8 yapatikana barabarani Burundi

    baadhi ya miili ilikuwa na majeraha ya risasi kichwani, na inaelekea walifungwa kwa kamba kabla ya kuuwawa.
     Takriban watu wanane wameuawa katika mji mkuu wa Burundi,Bujumbura katika tukio lingine linalohusiana na maandamano ya kupinga hatua ya rais wa nchi hiyo

    Rais Pierre Nkurunziza, alipoamua kuania muhula wa tatu wa uongozi.
    Image copyright AFP
    Image caption Mwandishi BBC mjini humo, anasema baadhi ya miili ilikuwa na majeraha ya risasi kichwani, na inaelekea walifungwa kwa kamba kabla ya kuuwawa.

    Alisema, baadhi yao wamepigwa risasi kichwani, na inaelekea walifungwa kwa kamba kabla ya kuuwawa.
    Image copyright AFP
    Image caption Maandamano ya kupinga hatua ya rais wa nchi hiyo Rais Pierre Nkurunziza, kuania muhula wa tatu wa uongozi

    Mapambano yalianza jana asubuhi, kwa risasi na maguruneti.

    Afisa mkuu wa Polisi katika eneo hilo la Mutakura, Pierre Nkurikiye amewalaumu wahalifu kwa maafa hayo, lakini mitaa ya kaskazini mwa Bujumbura ni shina la upinzani dhidi ya Rais Pierre Nkurunziza.

    Miili 6 ilipatikana katika kitongoji cha Cibitoke, ambacho kimekuwa shina la maandamano ya kupinga muhula wa tatu wa rais Pierre Nkurunziza.
    Chanzo; BBC
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.