LIVERPOOL YACHAPWA 2-0 NA NEWCASTLE LIGI KUU ENGLAND
Kiungo Lucas Leiva (kushoto) akipambana na mchezaji wa Newcastle, Siem de Jong katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku Uwanja wa St James Park. Newcastle wameshinda 2-0 mabao ya Martin Skrtel kujifunga dakika ya 69 na Georginio Wijnaldum dakika ya 93