• Mambo 9 ya kushangaza usiyoyajua katika historia ya mpira wa miguu…. soma hapa

    1. Wolfsberg ndio timu pekee ya ligi ya ujerumani (Bundasliga) kupanda daraja na kuchukua kombe.

    2. Gary lineker mchezaji wa zamani wa everton na Barcelona na timu ya taifa ya uingereza ndio mchezaji pekee ambaye hajawahi kupata kadi ya njano wala nyekundu katika maisha yake ya soka.

    3. Ronaldo de Lima hajawahi kushinda komba la UEFA katika maisha yake yote ya soka.

    4. Christiano Ronaldo amezifunga timu zote za ligi kuu ya HIspania na hata timu yake ya Real Madrid kwa goli la kujifunga.

    5. Hakuna timu ya iliyowahi kushinda mara mbili mfululizo kombe la UEFA katika michuano hiyo.

    6. Jina halisi la uwanja wa Arsenal ni Ashbarton Grove, Emirates ni jina la wadhamini.

    7. Jerome na Kelvin Prince Boateng ndio ndugu pekee kuwahi kuwakilisha mataifa mawili tofauti katika historia ya kombe la dunia.

    8. Christiano Ronaldo amefunga goli katika kila dakika ya mchezo kuanzia dakika 1- 90 na hata katika dakika ya nyonegeza kasoro dakika ya 7

    9. Brazil ndio timu pekee kushiriki katika michuano yote ya kombe la Dunia tangu kuanzaishwa kwake.


  • GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.