![]() |
Manchester City watakutana na viongozi wa ligi Leicester City Jumamosi |
Image copyright Getty
Ratiba kamili:
Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL
Jumamosi 6 Februari, 2016 (Saa za Afrika Mashariki)
Man City v Leicester 15:45
Aston Villa v Norwich 18:00
Liverpool v Sunderland 18:00
Newcastle v West Brom 18
:00
Stoke v Everton 18:00
Swansea v Crystal Palace 18:00
Tottenham v Watford 18:00
Southampton v West Ham 20:30
Jumapili 7 Februari, 2016
Bournemouth v Arsenal 16:30
Chelsea v Man Utd 19:00