"Maoni yangu zile ni pesa sa umma ama si bana na repoti ya watu wasoni
na yenyee imechunguza imetoa ripoti yake kwamba hawa watu inabidi
wafilisiwe mali zao na wapandishwe kwenye mahakama ili kuweza kujibu
tuhuma zinazowakabili, wanaotakiwa kutoa maelezo ya kina ambao ni
mawaziri wamekuwa wakijiumauma sana ujue,
hawanyooshi maelezo. kwa namna moja au nyingine
tunajikuta tunalipia umeme kila siku unapenda bei unit moja 500 sijui
kutokana na michongo kama hiyo siyo, madeni yakwao wao baadhi ya
mafisadi wachache lakini wanaleta ujanja ujanja mwisho wa siku madeni
hayo yanakuja kumwangukia mwananchi wa kawaida.." amesema Kala Pina
"na mi najipanga kugombea jimbo la Kinondoni " aliendelea kusema Piana
"sema nachosema mimi kama nafanikiwa kuingia Bungeni kwa mambo kama haya
ninayoyaona wabunge ntawapiga sana watu ngumi b ungeni kwasababu
masihara mwengi, ntatumia nguvu zangu za ziada kukabiliana na mafisadi"
0 comments:
Post a Comment