![]() |
| Hali ya hatari yatangazwa nchini NIGERIA |
Gavana wa jimbo la YOBE amesema hatua hiyo imechukuliwa ili kutoa nafasi kwa vikosi vya usalama kufanya kazi yake.
Kundi hilo la BOKO HARAM linataka kuunda serikali yenye utawala wa kiislamu katika eneo la Kaskazini mwa NIGERIA.
Katika mji wa MAIDUGURI na ule wa jirani wa BORNO wapiganaji wa BOKO HARAM walilipua soko na kuuwa watu SITINI wiki iliyopita.

0 comments:
Post a Comment