• Jean-Claude Van Damme kuirudia filamu yake ya Kickboxer ya mwaka 1989

    Muigizaji, Jean-Claude Van Damme anatarajia kurudia kuigiza filamu ya Kickboxer.

    Staa huyo mwenye miaka 54 aliigiza filamu original ya mwaka 1989, akiwa kama mpiganaji wa kulipwa akitumia jina Kurt Sloane anayejifunza Muay Thai kickboxing ili kulipiza kisasi kwaajili ya kaka yake aliyepooza baada ya kushindwa na kupigwa na bingwa Thai, Tong Po.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.