• Morinho Asema Chelsea ni kikosi bora msimu huu, sababu zenyewe hizi hapa.

    Meneja wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho
    amekisifia kikosi chake kwa kusema ndio kikosi bora kwa sasa kutokana na mwenendo mzuri
    alionao na anaamini suala hilo litaendelea kuwapa
    morari wachezaji wake kucheza kwa kujituma nakuuona kila mchezo kama fainali.

    Amesema mpaka sasa kikosi chake kinaongoza
    msimamo wa ligi ya nchini England, pia kipokatika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa
    kundi la saba la michuano ya ligi ya mabingwabarani Ulaya, na kingine anachojivunia ni kuwa
    katika hatua ya robo fainali ya michuano yaCapital One Cup na kucheza kwa kipindi cha
    miezi minne bila kufungwa hatua ambayoanaichukua kama sehemu kubwa ya mfanikio
    aliyokua amejiwekea tangu mwanzoni mwamsimu huu.

    Lakini meneja huyo kutoka nchini Ureno mesisitiza kuwa tayari kupokea matokeo yoyote ambayo yatapatikama tofauti na mafanikio aliyoyapata kwa kipindi hiki cha miezi minne tangu msimu wa soka wa barani Ulaya ulipoanza mwezi August mwaka huu.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.