![]() |
Rais Uhuru Kenyatta akiwahutubia wakenya |
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema
kuwa Kenya haitachoka katika vita vyake dhidi ya ugaidi kufuatia
shambulizi lililofanywa dhidi ya wachimba migodi mjini Mandera Kaskazini
ya Kenya.
Kundi hilo liliwaua wakenya wengine 28 waliokuwa wanasafiri kutoka mjini Mandera siku kumi zilizopita.
Kenyatta amelaani wanamgambo hao wa Al Shabaab kwa kutaka kuigawanya Kenya katika msingi ya kidini.
0 comments:
Post a Comment