![]() |
Tony Banbury, mkuu wa kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kupambana na Ebola Afrika Magharibi. |
Mkuu
wa kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kukabiliana na ugonjwa wa Ebola huko
Afrika Magharibi, Tony Banbury, amesema ugonjwa huo bado unaweza
kuendelea kusambaa duniani.
Katika mahojiano na BBC kwenye mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, Bwana Banbury mara kwa mara amekataa kuthibitisha kama malengo haya yamefikiwa.

Mkuu huyo ameelezea shauku ya kufikia malengo makubwa na kusema yataweza kufikiwa. Bwana Banbury amethibitisha kuwa Umoja wa Mataifa umedhamiria kuutokomeza ugonjwa wa Ebola miongoni mwa binadamu.
0 comments:
Post a Comment