• Liver yakwapua point 3. Watakatifu wamfanyia kitu mbaya Adam Lallana

                                           Adam Lallana (kushoto) alizomewa na mashabiki

    MENEJA wa Liverpool, Brendan Rodgers amekiri kushangazwa na jinsi nahodha wa zamani wa Southampton, Adam Lallana alivyopokelewa vibaya akirejea katika dimba la St Mary kwenye mechi ya ligi  ambayo Liverpool walishinda 2-0 jana.

    Kiungo huyo aliyekaa Southampton kwa miaka 14, alijiunga na Liverpool majira ya kiangazi mwaka jana na jana alizomewa na mashabiki wa nyumbani kama ilivyokuwa pia kwa Dejan Lovren aliyeondoka klabuni hapo kujiunga Anfield mwishoni mwa msimu uliopita.

    Mshambuliaji Rickie Lambert ambaye alikuwa kwenye orodha ya wachezaji wa akiba, ingawa hakucheza, yeye alipokelewa vizuri.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.