• Mastaa wa Uganda na hizi zawadi za magari kwa wake zao.

     Watu wengi wamekuwa wakipokea na kutoa zawadi mbalimbali kutoka kwa watu wao wa karibu ikiwa kama sehemu ya kuonyesha upendo siku ya wapendanao ama Valentine’s Day.

    Hii inamuhusu mwanamuziki maarufu wa Uganda Jose Chameleone ambaye safari hii aliamua kuonyesha upendo kwa kumzawadia mke wake gari ya thamani aina ya range na kumwandikia ujumbe mzuri ambao ulisomeka hivi.
    Kwa upande wa Bebe cool naye alipiga picha funguo ya gari na kuweka ujumbe kwenye mtandao wa Facebook uliosomeka:-
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.