• UNAJUA XABI ALONSO AMEFIKISHA MECHI NGAPI ZA UEFA?

    KIUNGO mkongwe wa Bayern Munich, Xabi Alonso jana amefikisha mechi ya 100 ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, ingawa mechi hiyo ya raundi ya 16 ya UEFA haikuwa nzuri kwake kwani alioneshwa kadi nyekundu  zikisalia dakika 25 mechi kumalizika.

    Licha ya Bayern Munich kuonesha kandanda la hali ya juu kama walivyofanya walipoitandika Hamburg SV mabao 8-0 mwishoni wa juma lililopita, hawakuweza kufua dafu mbele ya wenyeji Shakhtar Donetsk na kadi nyekundu ya kiungo wa zamani wa Liverpool na Real Madrid haikuwa na madhara yoyote.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.