Wayne Rooney aliifungia bao Man United
dakika ya 79 kwa kufanya 2-0 akipata pasi kutoka kwa Angel Di Maria nao
Aston Villa walipata kona na kupata bao kwa kufanya 2-1 katika dakika ya
80 kupitia kwa Christian Benteke.Ander Herrera Dakika ya 43 Aliipa bao na hapa akipongezwa na Carrick pamoja na Fellaini.
Ander
Herrera Dakika ya 43 mwishoni mwa kipindi cha kwanza kaifungia bao Man
United na Mtanange kwenda mapumziko ya bao 1-0 dhidi ya Aston Villa.
Rooney akiendesha!


Mpaka mapumziko Mitanange mingine ilivyokuwa..
RATIBA/MATOKEO
Jumamosi Aprili 4
Arsenal 4 vs 1 Liverpool FT
Everton 1 vs 0 Southampton
Leicester 2 vs 1 West Ham
Man United 3 vs 1 Aston Villa
Swansea 3 vs 1 Hull
West Brom 1 vs 3 QPR
0 comments:
Post a Comment