Marehemu
Abdallah Rehani kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam, Aprili
4, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika mazishi ya Baba
Mkwe wake , Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini
Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika mazishi ya Baba Mkwe wake ,
Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam
Aprili 4,2015.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015. (Muro)
Chanzo; Mjengwa
0 comments:
Post a Comment