• Tazama Picha; Magwiji wa Barcelona Simao Sabrosa Kluivert na wengene wengi wawasili kuwakabili magwiji wenzao wa Tanzania

     Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona
    Patrick Kluivert akiwaongoza wachezaji wenzake akiwepo Simao Sabrosa
    muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
    wa Kilimanjaro (KIA)
    Wachezaji wa Barcelona wakielekea upande wa
    watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa Kiamtaifa wa Kilimanjaro
    (KIA)
    Mchezaji Luis Garcia(kulia) akiwasili katika
    uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro .kushoto ni mratibu wa
    safari ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Royco
    Garcia.
    Wachezaji wa zamamni wa klabu ya Barcelona
    wakijadiliana jambo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro muda mfupi
    mara baada ya kuwasili na ndege ya shirika la ndege la
    KLM.
    Simao Sabrosa mchezaji wa zamani wa klabu ya
    Barceona akiwa katika eneo la mapumziko katika uwanja wa ndege wa
    kimataifa wa Kilimanjaro.
    Mchezaji Patrick Kluivert akizingumza kwa
    simu muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
    kimataifa wa Kilimanjaro KIA jana usiku .
    Meneja maendeleo wa KiboPalace Hotel
    ,Charity Githinji akiteta jambo na wachezaji wa zamani wa klabu ya
    Barcelona walioanza kuwasili nchini kwa ajili ya mchezo wa kirafiki
    dhidi ya wachezaji wa zamani wa Tanzania.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.