• Godbless Lema ashinda Ubunge jimbo la Arusha Kwa kishindo kikubwa


    Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA katika Jimbo la Arusha,GODBLEES LEMA ameibuka mshindi na kutangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo.

    Katika uchaguzi huo ulioshirikisha vyama vitano vya siasa, LEMA amepata kura Elfu-68 na 848 kati ya kura Laki-1,Elfu-4 na 353 zilizopigwa akifuatiwa na mgombea wa Chama cha Mapinduzi,PHILEMON MOLLEL aliyepata kura Elfu-35 na 907.


  • GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.