• MATOKEO YOTE MECHI ZA DECEMBER 9 NA TIMU ZILIZOFUZU HATUA YA 16 BORA GIROUD AIBEBA ARSENAL

    Usiku wa December 9 ilipigwa michezo nane ya UEFA Champions League kukamilisha hatua ya makundi, baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo huku nyingine zikiwa zimeng’oka kama si kutupwa nje.
    Haya hapa matokeo ya mechi zote zilizochezwa usiku wa December 9 huhitimisha hatua ya makundi kabla ya kuanza kwa hatua ya mtoano.
    UEFA-matokeo

    Timu ambazo zimefanikiwa kutika hatua ya 16 ni pamoja na; Real Madrid, PSGVfL WolfsburgPSV Eindhoven, Atletico Madrid, Benfica, Man City, Juventus, FC Barcelona, Roma, FC Bayern Munich, Arsenal, Chelsea, Dynamo Kiev, Zenit St P na KAA Gent.
  • GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.