1. Wallet Hazitakuwepo Tena baada ya Miaka kadhaa ijayo hasa kutokana na kuboreshwa mifumo ya ulipaji hela kwa mtandao.
2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.
3. Hataona nguzo za simu kabisa! (nguzo zinazopitisha nyaya za simu za mezani )
4. Hatatumia Funguo akishakuwa mtu mzima kwani Tunakoelekea, kila mtu atatumia password au alama za vidole badala ya funguo.
5. CD au DVD hazitakuwepo tena kutokana na Kubuniwa kwa teknolojia mpya za kuhifadhi Vitu.
6. Kamera ndogo za mfukoni (Simu zinaua kabisa soko la bidhaa hizi)
7. Mouse za Computer zitapotea kwani computer zote zitakuwa na uwezo wa kupangusa (Touch) na kuamrishwa kwa sauti.
8. Hatatumia tena Mashine za Fax kutokana na kuwepo kwa njia nyingine za haraka za mawasiliano
9. Betri za Redio, Tochi nk
10. Stamp na Barua Za Posta