Ligi mbalimbali leo zitakuwa zinaendelea uko barani Ulaya, kwenye ligi pendwa ya nchini England (EPL) kutapigwa micheo nane ambapo takribani timu 16 zitakuwa viwanjani kusaka pointi tatu kwa ajili ya kujiweka vizuri katika msimamo wa ligi hiyo ambayo inazidi kupamba moto.
Hii hapa ratiba kamili ya mechi zote zitakazopigwa Jumamosi ya leo December 5


