Ikitolewa ripoti hiyo kwa msaada wa chombo cha habari BBC imesema kuwa bi. Jyoti kwa uthibitisho uliofanyika chini ya wataalamu umebaini kwamba hakuna mwanamke yeyote mwingine duniani ambaye ameifikia rekodi yake, kutokana na kimo cha ufupi alio nao.
Aidha wataalamu wa mambo ya sayansi wamesema kuwa tatizo la kimaumbile linalopelekea watu kuzaliwa aidha warefu au wafupi zaidi hii nikutokana na matumizi mabaya ya silaha za moto pamoja na milipuko ya kila siku ambayo hufanya mabadiliko katika uso wa dunia nakuacha tabaka ambalo hata kiumbe kitakacho zaliwa kinaweza kuathiriwa kabla na baadaya kuzaliwa. nakuongeza kuwa miaka thelathini (30) iliyopita nchini japani hapakuwa na watu wanaozaliwa na maumbile ya ajabu kama vile mtu mwenye vidole sita, miguu mirefu, ama kichwa chaajabu.
wataalamu wanashauri nchi zenye migogoro na mapigano kuhakikisha wanaacha na hata kusitisha mapigano mara moja kwaajili ya kizazi kijacho, hii itapunguza idadi ya watu wenye ulemavu uliwenguni na duniani kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment