• FULL TIME; LIVERPOOL WACHEZEA KICHAPO KIZITO DHIDI YA ARSENAL TAZAMA PICHA ZA MATUKIO UWANJANI




    Baadhi ya  Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Ozil baada ya kuwafungia bao katika kipindi cha kwanza kilichomalizika 3-0, Liverpool wakiwa nyuma. Kipindi cha pili dakika ya 76 Liverpool walifanikiwa kupata bao na kufanya 3-1 kwa mkwaju wa penati. Mpaka dakika 90 zinamalizika..Arsenal 4-1, Wafungaji ni Hector Bellerin 37, Mesut Özil 40, Alexis Sánchez 45, Olivier Giroud 90. KIPINDI cha kwanza kimemalizika Arsenal wanaongoza kwa bao 3-0 mpaka sasa bao zikifungwa na Hector Bellerin dakika ya 37, Mesut Özil dakika ya 40 kwa mpira wa Adhabu wa frii kiki. Bao la tatu lilifungwa na Alexis Sánchez dakika za lala salama za kipindi cha kwanza dakika ya 45 na kwenda mapumziko Arsenal wakiwa kifua mbele wakiongoza kwa bao 3-0.
    Chupuchupu Arsenal wapate bao..kipindi cha kwanza kupitia kwa RamseyOzil alifunga bao la tatu dakika ya 45 VIKOSI:
    Arsenal:
    Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey, Ozil, Alexis, Giroud.
    Akiba: Macey, Gibbs, Gabriel, Flamini, Rosicky, Walcott, Welbeck
    Liverpool: Mignolet, Can, Toure, Sakho, Allen, Lucas, Moreno, Henderson, Coutinho, Markovic, Sterling.
    Akiba: Jones, Johnson, Lovren, Sturridge, Manquillo, Borini, Brannagan.Sterling akiwa hoi baada ya kukosa nafasi ya wazi kipindi cha kwanza LIGI KUU ENGLAND
    RATIBA/MATOKEO
    Jumamosi Aprili 4
     
    Arsenal 3 vs 1 Liverpool"
     
    17:00 Everton vs Southampton
    17:00 Leicester vs West Ham
    17:00 Man United vs Aston Villa
    17:00 Swansea vs Hull
    17:00 West Brom vs QPR
    19:30 Chelsea vs Stoke
  • 0 comments:

    Post a Comment

    GET A FREE QUOTE NOW

    Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod tincidunt ut laoreet dolore magna aliquam erat volutpat.